Header Ads

Yombo Man - Nimekumic (Download New Audio)

KWA WALE MASHABIKI WALIOKUWA WANAFATILIA KAZI ZAKE YOMBO MAN SASA HUU NI UJIO MPYA AMBAO UPO CHINI YA UDHAMINI MPYA WA SYLI CLASSIC ENTERTAINMENT,NIMEKUMIC NI WIMBO MPYA AMBAO YOMBO MAN AMEUTOA KAMA STORY FUPI LAKINI INA UKWELI NDANI YAKE,UMETENGENEZEWA KATIKA STUDIO YA WHITE REC.
EBU USIKILIZE HAPO CHINI  
https://my.notjustok.com/track/download/id/31472

                                                             Download via mkito
 

No comments