DC BRILLIANT TEACHERS' COLLEGE (CHUO CHA UALIMU DC BRILLIANT)
CHUO CHA UALIMU DC BRILLIANT
USAJILI NAMBA CU.154.
S.L.P 1448
BUKOBA
Simu: +255 789625113/+255 626190412
Email: brilliantnyakatoo@gmail.com
1.USAJILI: Chuo kimesajiliwa na wizara ya elimu sayansi na teknolojia kwa usajili namba CU.154.
2.ENEO: Chuo kipo kata ya Nyakato,Wilaya ya Bukoba katika mkoa wa Kagera ,Umbali wa
kilometa saba (7) kutoka Bukoba mjini kuelekea barabara ya kashozi.
3.MIUNDO MBINU: Chuo kina miundo mbinu bora na ya kisasa.
![]() |
JENGO LA UTAWALA |
![]() |
DARASA |
PROGRAM ZA MASOMO ZINAZOTOLEWA NA CHUO
1. STASHAHADA YA ELIMU MSINGI (PRE-SERVICE)
2. STASHAHADA YA ELIMU MSINGI (IN-SERVICE)
3.STASHAHADA YA ELIMU YA AWALI (PRE-SERVICE)
KUPATA FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO BOFYA HAPA
![]() |
DARASA |
![]() |
DARASA |
MAZINGIRA YA NJE YA CHUO |
MAZINGIRA YA MABWENI KWA NJE |
MAZINGIRA YA MABWENI KWA NJE |
MAZINGIRA YA NJE YA CHUO |
Post a Comment